1.  Stashahada ya kawaida ya Biblia
  2.  Stashahada ya Kawaida ya Bibla na Upandaji Makainsa
  3. Stashahada ya Kawaida  Biblia na Uongozi wa Kanisa
  4.  Stashahada ya Kawaida ya Theolojia na Ushauri wa Kichungaji
  5.  Stashahada ya Kawaida ya Elimu Ya Kikristo

STASHAHADA YA KUPANDA MAKANISA (Diploma in Church Planting (DCP)

Progamu hii imeanzishwa ili kuweza kuwatayarisha watumishi wa Mungu ili waweze kujihusisha katika upandaji makanisa katika maeneo mbalimbali ndani ya nchi zao na nchi za kigeni. Programu hii inalenga kumpa    mwanafunzi ujuzi na stadi za kupanda makanisa na kumjengea uwezo wa kupanda makanisa. Mwanafunzi anaadaliwa namna atakavyoweza kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika uwanja wa upandaji makanisa na namna anavyoweza kutumia raslimali mbalimbali ili kuwezesha kazi ya kupanda makanisa kusonga mbele.

Pia program hii inalenga kuwapa wanafunzi maarifa ya Kibiblia, kithiologia na kihuduma ili kuwajengea uwezo wa kuweza kuhubiri, kufundisha na kufanya kazi za kiuongozi katika kanisa la mahali au katika nafasi yoyote   katika kanisa.

Program hii inalenga kuongeza kasi ya upandaji makanisa yenye afya na yenye kujizidisha kiroho, kiidadi na kijografia. kuandaa viongozi wa kanisa wenye ujuzi na stadi za kupanda makanisa, kuleta uamsho wa kupanda makanisa, kuleta umoja miongoni mwa wapanda makanisa na kukuza uongozi na ujenzi wa timu za kupanda makanisa pamoja na kuwajengea wanafunzi uwezo wa kufanya utafiti juu ya upandaji makanisa.

Pia program hii inamwandaa mwanafunzi kwaajili ya kuendelea na masomo ya elimu ya juu yaani shahada ya kwanza katika fani mbalimbali za elimu ya ki Mungu.

Baadaya kuhitimu mafunzo mwanafunzi aweza kufanya huduma mbalimbali kutegemea wito au huduma iliyo ndani yake.Mwanafunzi aweza kuwa. Baada ya kuhitimu masomo haya mwanafunzi ataweza kumtumikia Mungu sawasawa na wito ulio ndani yake. Mwanafunzi/Mhitimu aweza kuwa mpanda makanisa, Mmishenari, mchungaji, Mwinjilisti au kiongozi wa timu za upandaji makanisa

Ili mwanafunzi aweze kuhitimu kozi hii na kustahili kutunukiwa Stashahada ya Kupanda makanisa ni lazima awe amesoma na kutimiza jumla ya Krediti 90 na awe amefaulu mitihani yake yote.

Mwanafunzi atatakiwa kuhudhuria mihadhara darasani, kushiriki semina, kufanya mazoezi ya vikundi na mazoezi binafsi. Pia atatakiwa kushiriki mazoezi ya vitendo ndani na nje ya darasa kama itakavyopangwa na mkufunzi wa kozi husika na mkuu wa idara ya kupanda makanisa. Mwanafunzi atatakiwa kuonesha uwezo katika masomo darasani na nje ya darasa. Katika Semista ya sita mwanafunzi atatakiwa kufanya utafiti juu ya upandaji  makanisa katika mada mbalimbali zitakazokuwa zimependekezwa na idara na kutoa mhadhara wa upandaji makanisa katika kipindi cha semina.

 

ORODHA YA KOZI ZA STASHAHADA YA KUPANDA MAKANISA

Mwaka wa Kwanza

Semista ya Kwanza

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDB 100

Pitio la Agano la Kale

3

Lazima

EDB 102

Pitio la Agano Jipya

3

Lazima

EDT 100

Misingi ya Imani

2

Lazima

EDT 101

Kuwafanya watu kuwa wanafunzi

2

Lazima

EDM 100

Sifa na ibada

2

Lazima

EDA 100

*Mawasiliano na stadi za usomaji

2

Lazima

EDC 100

Utangulizi wa upandaji makanisa

2

Lazima

EDA 101

*Kiswahiili I

2

Lazima

EDA 102

*Kiingereza I

2

Lazima

Semista ya Pili

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 200

Kuiskia Sauti ya Mungu

2

Lazima

EDT 201

Maisha ya Kikristo

2

Lazima

EDT  202

Kanuni za kufasiri Biblia

2

Lazima

EDC 200

Uinjilisti Binafsi

3

Lazima

EDC 202

Historia ya kupanda makanisa

3

Lazima

EDM 200

Shule ya ukombozi na Uponyaji

2

Lazima

EDA  200

 Stadi za kompyuta I

2

Lazima

EDA 201

*Kiswahili  II

2

Lazima

EDA 202

*Kiingereza  II      

2

Lazima

EDM  201

Vita vya kiroho

2

Lazima

 

Semista Ya Tatu

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 300

Historia ya kanisa

2

Lazima

EDC 300

Kanisa na umisheni

2

Lazima

EDT 301

Theologia Ya Biblia

3

Lazima

EDB 300

Jiografia ya Biblia

2

Lazima

EDL 300

Maandalio ya uongozi

2

Lazima

EDC 300

Mbinu za kupanda makanisa

2

Lazima

EDA 300

*Stadi za Kompyuta II

2

Lazima

EDM 301

Kanuni za Kuandaa mahubiri

2

Lazima

EDT  303

Wanawake katika huduma

1

Lazima

MWAKA WA PILI

Semista ya Kwanza

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 400

Agano la Mungu

2

Lazima

EDP 400

Saikolojia ya Biblia

2

Lazima

EDT 300

Mahusiano ya kikristo

2

Lazima

EDC 400

Mbinu za mazidisho ya kiroho

2

Lazima

EDC 401

Mikakati ya upandaji Kanisa

2

Lazima

EDC 402

Misingi ya upandaji kanisa

2

Lazima

EDT 401

Kanisa na utandawazi

2

Lazima

EDT 403

Kutembea na Mungu

2

Lazima

 

Semista ya Pili

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDL 500

Kanuni za uongozi wa kiroho

2

Lazima

EDM 500

Theologia  Tumizi

2

Lazima

EDM 501

Huduma ya masaidiano

2

Lazima

EDT 500

Ndoa na familia  za Kikristo

2

Lazima

EDC 500

Mbinu za utafiti katika upandaji kanisa

2

Lazima

EDC 501

Mikakati ya mazidisho ya kiroho

2

Lazima

EDA 500

*Tafsiri na ukalimani

2

Lazima

EDT 501

Kupokea upako wa Roho Mtakatifu

2

Lazima

EDC 502

Mazoezi  ya vitendo ya upandaji makanisa

2

lazima

 

Semista ya Tatu

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 600

Karama za Roho Mtakatifu

2

Lazima

EDP 600

Ushauri wa Kichungaji

2

Lazima

EDT 601

Theolojia ya Kichungaji

2

Lazima

EDL 600

Kuongoza kwa kusudi

2

kuchagua

EDL 601

Usimamizi wa Raslimali za kanisa

2

kuchagua

EDM 600

Mbinu za  ufundishaji

2

Lazima

EDA 600

Ujasiliamali

2

Lazima

EDT 602

Mtazamo wa ulimwengu KiBiblia

2

Lazima

EDT 603

Mafundisho potofu

2

kuchagua

EDT 604

Theologia linganishi  (dini za ulimwengu)

2

Kuchagua

EDC 600

Semina ya kupanda makanisa

 

Lazima

 

 

 

31.2 STASHAHADA YA BIBLIA NA THEOLOGIA (Diploma in Bible and Theology

Programu ya Biblia na Theologia inalenga kuwaandaa watendakazi na viongozi wa kanisa wenye kujaa  upako wa Roho mtakatifu na wenye taaluma ya kutosha katika uwanja wa theologia, huduma za kanisa na  na uongozi wa kiroho. Pia inalenga kuwapa stadi na ujuzi na kuwajengea uwezo wa kumtumikia Mungu katika wito wao kwa ufanisi mkubwa. Baada ya mafunzo haya viongozi hawa watakuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika utumishi wao na kuweza kumzalia Mungu matunda yanayodumu. Pia wataweza kufanya shughuli za uongozi na kutumia raslimali mbalimbali katika kuujenga ufalme wa Mungu. Pia programu hii inalenga kuwandaa wanafunzi   kitaaluma ili wawe na uwezo mpana wa kuendelea na masomo ya elimu ya juu katika fani mbalimbali za elimu ya ki-Mungu.

Programu hii itachukua miaka miwili ya mafunzo darasani na nje ya darasa

Baadaya kuhitimu mafunzo mwanafunzi ataweza kufanya huduma mbalimbali kutegemeana na wito au huduma iliyo ndani yake.Mwanafunzi ataweza kuwa mchungaji, mwalimu, mwinjilisti au kushika nafsi yoyote ya kiuongozi katika taasisi za kidini.

Ili mwanafunzi aweze kuhitimu kozi hii na kustahili kutunukiwa Stashahada ya Biblia na Theologia ni lazima awe amesoma na kutimiza jumla ya Krediti 90 na awe amefaulu mitihani yake yote.

 

   ORODHA YA KOZI ZA STASHAHADA YA BIBLIA NA THEOLOJIA

MWAKA  WA KWANZA

Semista ya Kwanza

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDB 100

Pitio la Agano la Kale

3

Lazima

EDB 102

Pitio la Agano Jipya

3

Lazima

EDT 100

Misingi ya Imani

2

Lazima

EDT 101

Ufuasi

2

Lazima

EDM 100

Sifa na ibada

2

Lazima

EDA 100

Mawasiliano na stadi za usomaji

2

Lazima

EDT 105

Bibliolojia

2

Lazima

EDA 101

*Kiswahiili I

2

Lazima

EDA 102

*Kiingereza I

2

Lazima

Semista ya Pili

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 200

Kuiskia Sauti ya Mungu

2

Lazima

EDT 201

Maisha ya Kikristo

2

Lazima

EDT  202

Kanuni za kufasiri Biblia

2

Lazima

EDT 205

Misingi ya Theologia

2

Lazima

EDT 206

Kuvunja kongwa la umaskini

2

lazima

EDM 200

Shule ya ukombozi

2+

Lazima

EDA  200

 *Stadi za kompyuta I

2

Lazima

EDA 201

*Kiswahiili  II

2

Lazima

EDA 202

*Kiingereza  II      

2

Lazima

EDM  201

Vita vya kiroho

2                 

Lazima

Semista ya Tatu

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 300

Historia ya kanisa

3

Lazima

EDM 300

Shule ya uponyaji

2

Lazima

EDL 300

Maandalio ya uongozi

2

Lazima

EDC 300

Mbinu za kupanda makanisa

3

Lazima

EDA 300

Stadi za Kompyuta II

2

Lazima

EDM 301

Kuandaa mahubiri

2

Lazima

EDT  303

Wanawake katika huduma

2

Lazima

EDT 305

Taipolojia Za Kibiblia

3

Lazima

EDT 306

Thelogia I

2

Lazima

 

MWAKA WA PILI

Semista ya Nne

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 400

Agano la Mungu

2

Lazima

EDP 400

Saikolojia ya Biblia

3

Lazima

EDT 300

Mahusiano ya kikristo

2

Lazima

EDC 400

Mbinu za mazidisho ya kiroho

2

Lazima

EDT 405

Theologia ya wanamatengenezo wa kanisa

2

kuchagua

EDT 406

Numatolojia

2

Lazima

EDT 401

Kanisa na utandawazi

2

Lazima

EDT 403

Kutembea na Mung

2

Lazima

Semista ya Tano

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDL 500

Kanuni za uongozi wa kiroho

2

Lazima

EDM 500

Theolojia ya Tumizi

3

Lazima

EDM 501

Huduma ya masaidiano

2

Lazima

EDT 500

Maisha, Ndoa na familia za Kikristo

3

Lazima

EDT 5005

Utafiti wa Kitheologia

3

Lazima

EDT 502

Theolgia II

2

Lazima

EDA 500

Tafsiri  na ukalimani

2

Lazima

EDT 604

Theologia linganishi (Dini za Ulimwengu)

2

Kuchagua

EDT 603

Mafundisho potofu

2

Kuchagua

EDM 502

Mazoezi  ya vitendo I

2

Lazima

Semista ya Sita

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 600

Karama za Roho Mtakatifu

2

Lazima

EDP 600

Ushauri  na Malezi ya  Kichungaji

3

Lazima

EDT 601

Theolojia ya Kichungaji

2

Lazima

EDL 600

Kuongoza kwa kusudi

2

Kuchagua

EDL 601

Usimamizi wa Raslimali za kanisa

2

kuchagua

EDM 600

Mbinu za  ufundishaji

2

Lazima

EDA 600

Ujasiliamali

2

Lazima

EDT 602

Mtazamo wa ulimwengu KiBiblia

2

Lazima

EDT 501

Kupokea upako wa Roho Mtakatifu

3

Lazima

EDT 604

Semina ya kitheologia

 

Lazima

 

 

 

31.3 STASHAHADA YA BIBLIA, THEOLOGIA NA SAIKOLOJIA YA UNASIHI

(Diploma in Bible, Theology and Counseling Psychology)

Stashahada ya Biblia, Theolojia na Saikolojia ya unasihi  imeanzishwa kwaz lengo la  kueatayarisha  watumishi wanye  taaluma katika Biblia,Theolojia na Saikolojia ya Unasihi ili kukabiliana na changamoto za Kisaikolojia  zinazolikumba kanisa na jamii kwa jumla. Programu hii inalenga kuwatayarisha viongozi watumishi wenye ufahamu mpana kuhusu mambo ya Saikolojia ili  waweze kusaidia waamini na jamii kwa  ujumal  katika kutatua matatizo ya kisaikolojia. Taaluma ya Saikolia ya unasihi imekuwa  muhimu  sana katika kipindi hiki ambapo dunia inapitia mageuzi makubwa kiucumi, kijamii na kisiasa hasa kutokana na kukua kwa kasi  kwa Sanyasi na teknolojia na  Utandawazi ambapo dunia imeletwa  katika  kiganga cha mwanadamu. Dunia imekuwa Kama kijiji.

 Kukua kwa utandawazi kumeleta athari  chanya na hasi katika kanisa na jamii kwa ujumla. Wimbi la mmomonyoko wa maadili limekuwa kubwa kuliko wakti mwingine wowote. Hivyo basi program hii imeanzishwa kwa lengo mahususi la kuwatayarisha viongozi watumishi watakaokwenda kusaidia kanisa na jamii kwa ujumla katika  kushughulikia changamoto anuai zinazoikumba jamii.

Stashahada ya Biblia, Theolojia na Saikolojia ya Unasihi ni program ya mafunzo ya miaka miwili yenye jumla ya semista sita za mafunzo na jumla ya krediti 90. Jrediti moja ina jumla ya masaa 15 ya ufundishaji. Ili mwanafunzi aweze kutunukiwa stashahada hii anapaswa kufuzu mihitahi yote na kutimiza mahitaji yote ya Programu hii.

 Baada ya kufuzu mafunzo haya mhitimu ataweza kufanya kazi kama  Mshauri Nasihi, Mchungaji, Mwinjilisti, N.k kulingana na wito ambao Mungu ameweka ndani yake.

 

 

 

ORODHA YA KOZI ZA STASHAHADA YA  BIBLIA,THEOLOJIA NA SAIKOLOJIA YA UNASIHI

 

MWAKA WA KWANZA

Semista ya kwanza

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDB 100

Pitio la Agano la Kale

3

Lazima

EDB 101

Pitio la Agano Jipya

3

Lazima

EDT 100

 Misingi ya Imani ya Kikristo

2

Lazima

EDT 101

Ufuasi

2

Lazima

EDP 100

Utangulizi wa Saikolojia na Unasihi

2

Lazima

EDA 100

Stadi za Mawasiliano na Ujifunzaji

3

Lazima

EDT 105

Bibliolojia

2

Lazima

EDA 101

Kiswahili  I

2

Lazima

EDA 102

Kingereza  I

2

lazima

Semista ya Pili

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 200

Kusikia Sauti ya Mungu

2

Lazima

EDT 201

Maisha ya Kikristo

2

Lazima

EDT 202

Kanuni za kufasiri Maandiko

3

Lazima

EDP 200

Afya y Akili

2

Lazima

EDP 201

Saikolojia ya Makuzi

 

Lazima

EDM 200

Ukombozi na Uponyaji

3

Lazima

EDA 200

Stadi a Kompyuta  (utangulizi wa kompyuta)

2

Lazima

EDA 201

Kiswahili II

2

Lazima

EDA 202

KIngereza

2

Lazima

EDP 202

Mbinu za Ushauri nasihi I

3

Lazima

Semista ya tatu

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 300

Historia ya Kanisa

3

Lazima

EDP 300

Matatizo ya Kisaikoloji

3

Lazima

EDP 301

Sakolojia ya Jamii

2

Lazima

EDP 302

Ushauri Nasihi wa Kabla ya Ndoa

2

Lazima

EDA 300

Stadi za Kompyuta II (Microsoft word)

2

Lazima

EDP 303

Unasihi wa Makundi maalum ya Watu

2

Lazima

EDT 301

Wanawake katika Huduma

3

Lazima

EDP 304

Kudhibiti Majanga

3

Lazima

EDP 305

Unasihi wa Rika Barehe

2

Lazima

Semista ya nne

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDP 400

 Haiba za Watu

2

Lazima

EDP 401

Ushauri Nasihi wa Ndoa na Familia

3

Lazima

EDP 402

Kusaidia Mahusiano na  Maingiliano ya Watu

2

Lazima

EDC 400

Mbinu za mazidisho ya Kiroho

3

Lazima

EDP  403

Unasihi Kwa watu wanaoishi na VVU/UKIMWI

2

Lazima

EDP 404

Ushauri nasihi wa Taaluma, kazi na Ajira

2

Lazima

EDT 406

Numatolojia/ Roho Mtakatifu

2

Lazima

EDP  405

Mbinu  za Ushauri nasihi II

3

Lazima

EDT 403

Kutembea na Mungu

2

Lazima

Semista ya tano

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 500

Kanuni za Uongozi wa Kiroho

2

Lazima

EDM 500

Theolojia Tumizi

3

Lazima

EDP 500

Unasihi  kabla ya Kustaafu Kazi

2

Lazima

EDT 500

Maisha, Ndoa na Familia za Kikristo

3

Lazima

EDP 501

Mbinu za utafiti wa Kisaikolojia

2

Lazima

EDP 502

Usuruhishi, utatuzi na usimamizi wa Migogoro I

2

Lazima

EDA 500

Tafsri na Ukalimani

2

Lazima

EDT 507

Dini Kuu za Ulimwengu

3

Lazima

EDP 503

Unasihi wa Jamii

2

Lazima

EDP 504

Mazoezi ya Vitendo  II

2

Lazima

Semista ya sita

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 600

 Karama za Roho Mtakatifu

3

Lazima

EDTP 600

Ushauri na Malezi ya Kichungaji

2

Lazima

EDP 601

Saikolojia ya Mawasiliano

2

Lazima

EDL 600

Kuongoza kwa Kusudi

2

Lazima

EDP 602

Ubadilishaji wa Tabia na Mwenendo

3

Lazima

EDM 600

Mbinu za Ufundishaji

3

 Lazima

EDA 600

Stadi za Ujasiliamali

2

Lazima

EDP 603

Unasihi na  Saikolojia  ya Maadili

2

Lazima

EP 604

Usuruhishi, utatuzi na usimamizi wa Migogoro II

2

Lazima

EDT 607

Upako wa Roho Mtakatifu

3

lazima

EDP 605

Semina ya  Saikolojia ya Unasihi

 

Lazima

 

 

31.4. STASHAHADA YA ELIMU YA KIKRISTO (Diploma in Christian Education)

Stashahada ya Elimu ya Kikristo Imeanzishwa kwa lengo la kuwatayarisha  Walimu wa Neno la Mungu (Biblia) Stashahada  hii inalenga kutoa mafunzo ya elimu  kwa kuzingatia Biblia na theolojia ya Kikristo  ili kuweza kuwaandaa Waalimu watakao kuwa na  stadi za Biblia, Theolojia na ualimu. Programu hii imeanzishwa ili kukabiliana na changamoto ya ukosefu/uhaba wa walimu wa Neno la Mungu wenye taaluma kwaajili ya kufundisha elimu  ya dini katika shule za msingi, sekondari na vyuo. Pia program hii inalenga kutoa wanataaluma watakao simamia  maadili ya Kikristo  mashuleni.

 

Stashahada ya Elimu ya Kikristo imejikita katika kuwatayarisha na kuwawezesha walimu watakaofundisha neno la Mungu makanisani, mashuleni, magerezani na maeneo mengine yanayohitaji waalimu wenye taaluma ya elimu ya Kikristo. Stashahada ya elimu ya kikristo niprogramu ya mafunzo ya miaka miwili  yenye jumla ya krediti 90.  Kirediti  1  ikiwa na jumla ya masaa 15 ya ufunudhaji na ujifunzaji.

Baada ya kufuzu masomo haya mwanafunzi  ataweza kufanya kazi kama mwalimu wa neno la Mungu katika taasisi na idara mbalimbali za elimu katika taasisi za kidini na zisizo za kidini,  pia atakuwa na uwezo wa kufanya kazi kama mchungaji, mwinjilisti au kufanya huduma yoyote  ile inayolingana na taaluma yake sawasawa na wito wa Mungu ulio ndani yake.

 

ORODHA YA KOZI ZA STASHAHADA YA ELIMU YA KIKRISTO

MWAKA WA KWANZA

NAMBA  YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDB 100

Pitio la Agano la Kale

3

Lazima

EDB 101

Pitio la Agnoa Jipya

3

 Lazima

EDT 100

Msingi ya Imani ya Kikristo

2

Lazima

EDE 100

Utangulizi wa Elimu ya Kikrsito

3

Lazima

EDM 100

Sifa na Ibada

2

Lazima

EDA 100

Stadi za Mawasiliano na Mbinu za Usomaji

2

lazima

EDT

Bibliolojia

2

Lazima

EDA 101

Kiswahili I

2

Lazima

EDA 102

KIngereza I

2

lazima

Semista ya pili

NAMBA  YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 200

Kuisikia Sauti ya Mungu

2

Lazima

EDT 201

Maisha ya Kikristo

2

Lazima

EDE 200

Kanuni za Kufasiri Maandiko

3

Lazima

EDE 201

Historia ya Elimu ya Kikristo

3

Lazima

EDM 200

Falsafa ya Elimu ya Kikristo

3

Lazima

EDA 200

Shule ya Ukombozi na Uponyaji

2

Lazima

EDA 201

Stadi za Kompyuta I (Itangulizi wa Kompyuta)

2

Lazima

EDA 202

Kiswahili II

2

Lazima

EDE 202

Kingereza II

2

Lazima

Semista ya Tatu

NAMBA  YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 300

Historia ya Kanisa

3

Lazima

EDE 300

Saikolojia ya Elimu

3

Lazima

EDL 300

Maandalio ya Uongozi

2

Lazima

EDC 300

Mbinu za Kupanda Makanisa

3

Lazima

EDA 300

Stadi za Kompyuta II

2

Lazima

EDM 301

Kanuni za kuandaa Mahubiri

3

Lazima

EDT 303

Wanawake katika Huduma

2

Lazima

EDE 301

Mambo Mtambuka katika elimu

2

 Lazima

EDE 302

Ujifunzaji na Usimamizi wa Darasa

2

Lazima

MWAKA WA PILI

Semista ya nne

NAMBA  YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 400

Agano la Mungu

2

Lazima

EDP 400

Saikolojia ya Biblia

3

Lazima

EDT 407

Mahusiano ya Kikristo

2

Lazima

EDC 400

Mbinu za mazidisho ya Kiroho

3

Lazima

EDE 400

Mbinu za Ufundishaji I

3

Lazima

EDT 406

Numatolojia/Roho  Mtakatifu

2

lazima

EDE 401

Utayarishaji na Ukuzaji wa Mitaala ya elimu

3

Lazima

EDT 403

Kutembea na Mungu

3

Lazima

Semista ya Tano

NAMBA  YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDL 500

 Kanuni za Uongozi wa Kiroho

2

Lazima

EDM 500

Theolojia tumizi

3

Lazima

EDT 500

Maisha, Ndoa na Familia za Kikristo

3

lazima

EDE 500

Pedagojia na Elimu ya Ualimu

2

Lazima

EDE 501

Ushauri Nasihi Katika elimu

2

Lazima

EDE 502

Methodolojia ya Elimu ya Watu wazima

2

Lazima

EDE 503

Mbinu za Utafiti katika Elimu

3

Lazima

EDE 504

Teknolojia ya Habari katika Elimu ya Kikrsto

3

Lazima

EDA 500

Tafsiri  na Ukalimani

2

Lazima

EDE 505

Elimu Linganishi

2

Lazima

EDT 507

Theolojia Linganishi

3

Lazima

Semista ya Sita

NAMBA  YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 600

 Karama za Roho Mtakatifu

2

Lazima

EDP 600

Ushauri na Malezi ya Kichungaji

2

Lazima

EDT 601

Theolojia ya Kichungaji

2

Lazima

EDL 600

Kuongoza kwa Kusudi

3

Lazima

EDE  600

Maadili ya Ualimu katika elimu ya Kikristo

2

Lazima

EDE 601

Mbinu za Ufundishaji II

3

Lazima

EDE 602

Tathmini na Upimaji katika Elimu

3

Lazima

EDE 603

Uongozi na Utawala katika Elimu ya Kikristo

3

Lazima

EDT 607

Upako wa Roho Mtakatifu

2

Lazima

EDE 604

Semina ya Elimu ya Kikristo

 

Lazima

 

 

31.6   STASHAHADA YA UONGOZI WA KANISA (Diploma in Church Leadership)

Stashahada ya Uongozi wa Kanisa imeanzishwa  kwa lengo la kuwatayarisha viongozi watumishi  wa Kanisa  ili waweze kutekeleza majukumu yao ya  Uchungaji na uonongozi na utawala wa Kanisa. Duniani kote kuna kilio cha  hitaji la viongozi.  Viongozi wenye weledi  wanahitajika ili  ili kuweza kusimamia na kuongoza makanisa na taasisi zake  kwa ufanisi. Makanisa yanapandwa kila siku  lakini kuna changamoto ya upatikanaji wa wachungaji- viongozi watumishi  watakayoyasimamia na kuyaongoza makanisa hayo.  Programu hii ya Stashahada ya  Uongozi wa Kanisa   imeanzishwa  ili kuondoa changamoto ya uhaba wa viongozi watumishi  walioandaliwa vema kwaajili ya jukumu la uongozi katika makanisa na taasisi zake.

 

Stashahada ya Uongozi wa Kanisa  ni program ya Masomo ya miaka mwiwili  yenye jumla ya krediti 90  za masomo. Krediti  moja ni sawa na masaa 15 ya ufundishaji.  Ili mwanafunzi aweze kutunukiwa stashahada ya  Uongozi wa Kanisa  ni lazima afuzu mitihani yote  na kutimiza mahitaji yote ya program hii.

Baada ya kufuzu masomo haya mwanafunzi aweza kuwa Mchungaji, Mwinjilisti, Meneja au Mtawala katika taasisi za kanisa na   miradi yake.

 

ORODHA YA KOZI ZA STASHAHADA YA UONGOZI WA KANISA

MWAKA WA KWANZA

Semista ya Kwanza

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDB 100

Pitio la Agano la Kale

3

Lazima

EDB 101

Pitio la Agnoa Jipya

3

 Lazima

EDT 100

Msingi ya Imani ya Kikristo

2

Lazima

EDL 100

Maandalio ya Uongozi

3

Lazima

EDM 100

Sifa na Ibada

2

Lazima

EDA 100

Stadi za Mawasiliano na Mbinu za Usomaji

2

lazima

EDT

Bibliolojia

2

Lazima

EDA 101

Kiswahili I

2

Lazima

EDA 102

KIngereza I

2

lazima

Semista ya Pili

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 200

Kusikia Sauti ya Mungu

2

Lazima

EDT 201

Maisha ya Kikristo

2

Lazima

EDT 202

Kanuni za kufasiri Maandiko

3

Lazima

EDL 200

Misingi ya Uongozi wa Kanisa

2

Lazima

EDL 201

Kanuni za ki-Biblia za Uongozi wa  Kanisa

2

Lazima

EDM 200

Ukombozi na Uponyaji

3

Lazima

EDA 200

Stadi a Kompyuta  (utangulizi wa kompyuta)

2

Lazima

EDA 201

Kiswahili II

2

Lazima

EDA 202

Kingereza

2

Lazima

EDL 202

Kufaulu na Kufanikiwa ki-Biblia

2

Lazima

Semista ya Tatu

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 300

Historia ya Kanisa

3

Lazima

EDL 300

Uongozi wa kiutumishi

2

Lazima

EDL 301

Kukuza Uwezo wa Kuongoza

3

Lazima

EDC 300

Mbinu za Kupanda Makanisa

2

Lazima

EDA 300

Stadi za Kompyuta II 

2

Lazima

EDM 301

KAnuni za Kuandaa Mahubiri

3

Lazima

EDT 301

Wanawake katika Huduma

3

Lazima

EDL 3002

Mambo Mtambuka katika Uongozi

2

Lazima

EDL 303

Malezi na Makuzi  ya Viongozi wa Kiroho

2

Lazima

 

 

 

 

MWAKA WA PILI

Semista ya Nne

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 400

Agano la Mungu

2

Lazima

EDP 400

Saikolojia ya Biblia

3

Lazima

EDT 407

Mahusiano ya Kikristo

2

Lazima

EDC 400

Mbinu za mazidisho ya Kiroho

3

Lazima

EDL 400

Nguvu ya Maono katika Uongozi

2

Lazima

EDT 406

Numatolojia/Roho  Mtakatifu

2

lazima

EDL 401

Kiongozi wa Kanisa mwenye Ufanisi

2

Lazima

EDL 403

Usimamizi wa Fedha

3

Lazima

EDT 403

Kutembea na Mungu

2

Lazima

Semista ya Tano

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 500

Kanuni za Uongozi wa Kiroho

2

Lazima

EDM 500

Theolojia Tumizi

3

Lazima

EDL 501,

Usimamizi, Usuruhishi na  Utatuzi wa Migogoro

2

Lazima

EDT 500

Maisha, Ndoa na Familia za Kikristo

3

Lazima

EDL 502

Kuinua Kizazi Kipya cha Viongozi wa  Kizazi Kipya

2

Lazima

EDL 503

Mbinu za Utafiti katika Uongozi wa Kiroho

3

Lazima

EDA 500

Tafsri na Ukalimani

2

Lazima

EDT 507

Dini Kuu za Ulimwengu

3

Lazima

EDL 504

Theolojia  ya Uongozi wa Kiroho

2

Lazima

EDL 505

Maisha ya Kiongozi wa Kiroho

2

Lazima

EDL 506

Mazoezi ya Vitendo  II

2

Lazima

Semista ya Sita

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 600

 Karama za Roho Mtakatifu

2

Lazima

EDP 600

Ushauri na Malezi ya Kichungaji

2

Lazima

EDT 601

Theolojia ya Kichungaji

2

Lazima

EDL 600

Kuongoza kwa Kusudi

3

Lazima

EDA 600

Stadi za Ujasiliamali

2

Lazima

EDL 602

Maadili ya Uongozi wa Kiroho

3

Lazima

EDL 602

 Upangaji wa Kimkakati

2

Lazima

EDL 603

Uongozi na Utawala wa Kanisa

2

Kuchagua 

EDT 607

Upako wa Roho Mtakatifu

2

Lazima 

EDL 603

Usimamizi wa Miradi

2

Kuchagua

EDE 604

Semina ya Uongozi wa Kiroho

 

Lazima

 

 

 

31.7 STASHAHADA YA USHAURI WA  KUCHUNGAJI. Diploma in Pastoral Care and  Counselling (DPC)

Programu hii imeanzishwa kwa lengo la kuwaandaa watumishi wa Mungu, watendakazi na viongozi wa kanisa katika taaluma ya ushauri wa kichungaji. Ushauri na unasihi ni fani inayohitajika sana katika kanisa, hasa katika kipindi hiki. Programu hii inalenga kuwapa wanafunzi ujuzi, maarifa na stadi za ushauri na unasihii wenye msingi wa ki-Biblia. Pia inalenga kuwajensgea  wanafunzi uwezo wa kufanya huduma ya ushauri  na unasihi kwa waamini na makundi mbalimbali ya watu katika jamii kwa kutumia kanuni za Kibiblia, kitheologia na Kisaikolojia. Pia kusuhulisha migogoro mbalimbali inayojitokeza miongoni mwa waamini. Kozi Hii inatumia mbinu za kibiblia na kisaikolojia katika  kuwaandaa washauri na wanasihi.

Programu hii pia ni matayarisho kwa mwanafunzi katika kujiendeleza katika elimu ya juu katika mambo ya ushauri wa kichungaji/kikristo.

Mwanafunzi baada ya kuhitimu program hii atakuwa na uwezo wa kufanya huduma ya ushauri na unasihi katika kanisa na katika jamii mbalimbali, atakuwa na uwezo wa kusuruhisha migogoro mbalimbali inayojitokeza katika kanisa na kufanya kazi mbalimbali katika kanisa kam Ushauri Nasihi, Uchungaji, Uinjilisti, Upandaji Makanisa. N.K kwa kutegemea wito wa Mungu uliondani yake.

Stashahada ya Ushauri wa Kichungaji  ni  Programu ya mafunzo ya muda wa miaka miwili  yenye jumla ya krediti 90. Krediti moja ni sawa  na masaa kumi na tano (15) ya ufundishaji.   Ili mwanafunzi aweze kutunukiwa Stashahada hii ya ushauri wa Kichungaji ni lazima afaulu mitihani yote na kutimiza mahitaji yote ya stashahada  ya Ushauri wa Kichungaji

 

 

 ORODHA YA KOZI ZA STASHAHADA YA USHAURI WA KICHUNGAJI

MWAKA WA KWANZA

Semista ya kwanza.

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDB 100

Pitio la Agano la Kale

3

Lazima

EDB 102

Pitio la Agano Jipya

3

Lazima

EDT 100

Misingi ya Imani

2

Lazima

EDT 101

Ufuasi

2

Lazima

EDM 100

Sifa na ibada

2

Lazima

EDA 100

Stadi za Mawasiliano na mbinu za usomaji

2

Lazima

EDP 100

Utangulizi wa ushauri wa kichungaji

2

Lazima

EDA 101

*Kiswahiili I

2

Lazima

EDA 102

*Kiingereza I

2

Lazima

Semista ya Pili

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 200

Kuiskia Sauti ya Mungu

2

Lazima

EDT 201

Maisha ya Kikristo

2

Lazima

EDT  202

Kanuni za kufasiri  Maandiko

2

Lazima

EDP  200

Saikolojia ya makuzi

2

Lazima

EDP 400

Haiba za Watu

2

Lazima

EDM 200

Shule ya ukombozi

2

Lazima

EDA  200

 Stadi za kompyuta I

2

Lazima

EDA 201

Kiswahiili  II

2

Lazima

EDA 202

Kiingereza  II       

2

 Lazima

EDM  201

Vita vya kiroho

2

Lazima






Semista ya Tatu

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 300

Historia ya kanisa

3

Lazima

EDM 300

Shule ya uponyaji

2

Lazima

EDL 300

Maandalio ya uongozi

2

Lazima

EDP 300

Ushauri wa makundi

2

Lazima

EDP 301

Mbinu za ushauri wa kichungaji

2

lazima

EDC 300

Mbinu za kupanda makanisa

2

Lazima

EDA 300

Stadi za Kompyuta II

2

Lazima

EDM 301

Kuandaa mahubiri

2

Lazima

EDT  303

Wanawake katika huduma

2

Lazima

EDT 301

Theologia Ya Biblia

3

Lazima

MWAKA WA PILI

Semista ya Nne

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 400

Agano la Mungu

2

Lazima

EDP 400

Ushauri wa  adiksheni

3

Lazima

EDT 300

Mahusiano ya kikristo

2

Lazima

EDC 400

Mbinu za mazidisho ya kiroho

2

Lazima

EDP 401

Uponyaji wa nafsi

2

lazima

EDP 403

Ushauri wa ndoa na familia

2

Lazima

EDT 401

Kanisa na utandawazi

2

Lazima

EDT 403

Kutembea na Mungu

2

Lazima

EDP 404

Ushauri wa  Taaluma, kazi  na Ajira

2

Lazima

Semista ya tano

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDL 500

Kanuni za uongozi wa kiroho

2

Lazima

EDM 500

Theolojia ya matendo

2

Lazima

EDM 501

Huduma ya masaidiano

2

Lazima

EDT 500

Ndoa na familia

3

Lazima

EDP 500

Maadili ya ushauri na malezi ya kichungaji

2

Lazima

EDP 501

 Kusuluhisha migogoro

2

Lazima

EDP  502

Mbinu za utafiti katika ushauri wa kichungaji

2

Lazima

EDA 500

Tafsiri  na ukalimani

2

Lazima

EDT 604

Theologia linganishi

2

kuchagua

EDT 603

Mafundisho potofu

2

Kuchagua

EDM 502

Mazoezi  ya vitendo I

2

lazima

Semista ya Sita

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDP 600

 Ushauri wa afya ya akili

3

Lazima

EDT 601

Theolojia ya Kichungaji

2

Lazima

EDL 600

Kuongoza kwa kusudi

2

Kuchagua

EDL 601

Usimamizi wa Raslimali za kanisa

2

kuchagua

EDM 600

Mbinu za  ufundishaji

2

Lazima

EDA 600

Ujasiliamali

2

Lazima

EDT 602

Mtazamo wa ulimwengu KiBiblia

2

Lazima

EDT 501

Kupokea upako wa Roho Mtakatifu

2

Lazima

EDP  502

Kushughurikia majanga

2

Lazima

EDP 605

 Semina ya ushauri na  malezi ya kichungaji

 

Lazima

 

31.8 STASHAHADA YA BIBLIA NA HUDUMA ZA KANISA ( Diploma in Bibli and Church Ministries  

Programu hii imeanzishwa ili kuwaandaa watendakazi na viongozi wa kanisa waliojaa upako wa Roho mtakatifu, maarifa na stadi katika mambo ya huduma za kanisa. Programu hii  ya Stashahada  ya Biblia na Huduma za  Kanisa  Inalenga katika kuwatayarisha viongozi wa kanisa watakaojihusisha kikamilifu katika huduma mbalimbali zilizopo katika kanisa na jamii kwa ujumla. Programu hii inalenga kuwapa wanafunzi maarifa na kuwajengea uwezo wa kufanya kazi ya huduma kwa ufanisi na uwezo wa kulihubiri Neno la kweli kwa uhalali.

Hivyo mwanafunzi baada ya kufuzu masomo haya atakuwa na uwezo wa kufanya kazi mbalimbali za kihuduma ili kuujenga mwiliwa Kristo Yesu. Progamu hii ina jumla ya krediti 90  za masomo ambazo mwanafunzi ni lazima azisome zote na kufuzu mitihani ya kozi zote ili aweze kustahili kutunukiwa stashahada ya Biblia na Huduma za kanisa.

Baada ya kufuzu masomo katika program hii mwanafunzi aweza kuwa  Mchungaji, mwinjilisti, mpanda makanisa au kufanya kazi yoyote inayoendana na  taaluma yake na wito wa Mungu ulio ndani yake.

 

ORODHA YA KOZI ZA STASHAHADA YA BIBLIA NA HUDUMA

Mwaka wa Kwanza

Semista ya Kwanza

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDB 100

Pitio la Agano la Kale

3

Lazima

EDB 102

Pitio la Agano Jipya

3

Lazima

EDT 100

Misingi ya Imani

2

Lazima

EDT 101

Ufuasi

2

Lazima

EDM 100

Sifa na ibada

2

Lazima

EDA 100

Mawasiliano na stadi za usomaji

2

Lazima

EDA 101

Kiswahiili I

2

Lazima

EDA 102

Kiingereza I

2

Lazima

EDM 101

Utangulizi wa Uongozi na  huduma

3

Lazima

Semista ya pili

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 200

Kuiskia Sauti ya Mungu

2

Lazima

EDT 201

Maisha ya Kikristo

2

Lazima

EDT  202

Kanuni za kufasiri Biblia

2

Lazima

EDT 206

Kuvunja kongwa la umaskini

2

lazima

EDM 200

Shule ya ukombozi

2

Lazima

EDA  200

Stadi za komputa I

2

Lazima

EDA 201

Kiswahiili  II

2

Lazima

EDA 202

Kiingereza  II       

2

 Lazima

EDM  201

Vita vya kiroho

2

Lazima

Semista ya tatu

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 300

Historia ya kanisa

3

Lazima

EDM 300

Shule ya uponyaji

2

Lazima

EDL 300

Maandalio ya uongozi

2

Lazima

EDC 300

Mbinu za kupanda makanisa

2

Lazima

EDA 300

Stadi za Kompyuta II

2

Lazima

EDM 301

Kanuni za Kuandaa mahubiri

2

Lazima

EDT  303

Wanawake katika huduma

2

Lazima

EDM 301

Huduma za magerezani na hospitali

2

lazima

EDM 302

Kuhudumia watoto

2

lazima

EDM 303

 Umishenari katika nchi za Kigeni

3

Lazima

MWAKA WA PILI

Semista ya Nne

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDT 400

Agano la Mungu

2

Lazima

EDP 400

Saikolojia ya Biblia

3

Lazima

EDT 300

Mahusiano ya kikristo

2

Lazima

EDC 400

Mbinu za mazidisho ya kiroho

2

Lazima

EDP 401

Uponyaji wa nafsi

2

lazima

EDM 40

Huduma ya Utume na Unabii

2

lazima

EDT 403

Kutembea na Mungu

2

Lazima

EDM 400

Kuhudumia vijana

2

Lazima

EDM402

Misingi ya huduma

2

lazima

Semista Ya Tano

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDL 500

Kanuni za uongozi wa kiroho

2

Lazima

EDM 500

Theolojia ya matendo

2

Lazima

EDM 501

Huduma ya masaidiano

2

Lazima

EDT 500

Ndoa na familia

3

Lazima

EDA 500

Tafsiri  na ukalimani

2

Lazima

EDT 604

Theologia linganishi

2

Lazima 

EDM 502

Huduma ya  Ualimu na Uchungaji

3

Lazima

EDM 503

Karama za huduma

2

lazima

EDM 504

Mbinu za utafiti  katika huduma

2

Lazima 

EDM 502

Mazoezi  ya vitendo

2

Lazima 

Semista ya sita

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EDM 600

Huduma ya Uinjilisti

3

Lazima

EDL 600

Kuongoza kwa kusudi

2

Kuchagua

EDL 601

Usimamizi wa Raslimali za kanisa

2

kuchagua

EDM 601

Mbinu za  ufundishaji

2

Lazima

EDA 600

Ujasiliamali

2

Lazima

EDT 602

Mtazamo wa ulimwengu KiBiblia

2

Lazima

EDT 501

Kupokea upako wa Roho Mtakatifu

3

Lazima

EDB 600

Waebrania

3

Lazima

EDB 601

Danieli na ufuno

3

 Lazima

EDM 602

Semina ya huduma

 

Lazima