Uongozi wa Chuo cha Biblia Elam Christian Univerrsity unawatangazia  viongozi wa Dini na  Wakristo wote kwa ujumla nafasi za Kujiunga na masomo ya Theolojia ngazi ya Digrii ya Pili  ya Theolojia katika uongozi.  Masomo yataendeshqwa  kwa njia ya mtandao  kwa lugha ya Kiswahili.
Wanafunzi waliomaliza Digrii ya Kwanza katika chuo hiki watapata ufadhili kwa asilima 50.
kwa maelezo zaidi pakua pdf hapo chini