YAH:
OFA YA PUNGUZO LA GHARAMA ZA MASOMO KWA WATU WOTE WATAKAOANZA MASOMO MWEZI
NOVEMBA NA DISEMBA 2021.
Watumishi
wa Mungu aliye juu sana, nawasalimu katika Jina la Yesu Kristo aliye hai.
Husika
na kichwa cha ujumbe hapo juu kama kinavyojieleza.
Ngazi ya masomo |
Maelezo |
Gharama ya OFA |
Gharama halisi |
Shahada
za Uzamivu (Doctorate degrees) |
Usajili
|
55,000 |
105,000 |
Udhibiti
ubora |
55,000 |
65,000 |
|
Uendeshaji
|
35,000 |
55,000 |
|
Ada
kwa kozi |
210,000 |
365,000 |
|
|
|
|
|
Shahada
za Uzamili au Umahiri (Master degrees) |
Usajili
|
30,000 |
65,000 |
Udhibiti
ubora |
40,000 |
55,000 |
|
Uendeshaji |
35,000 |
55,000 |
|
Ada
kwa kozi |
75,000 |
255,000 |
|
|
|
|
|
Stashahada
za Uzamili (Postgraduate Degrees) |
Usajili
|
25,000 |
45,000 |
Udhibiti
ubora |
35,000 |
45,000 |
|
Uendeshaji |
35,000 |
55,000 |
|
Ada
kwa kozi |
65,000 |
110,000 |
|
|
|
|
|
Shahada
za kwanza au za Awali (Bachelor Degrees) |
Usajili
|
30,000 |
45,000 |
Udhibiti
ubora |
35,000 |
45,000 |
|
Uendeshaji |
25,000 |
35,000 |
|
Ada
kwa kozi |
65,000 |
110,000 |
|
|
|
|
|
Stashahada
ya juu (Advanced Diploma) |
Usajili |
15,000 |
40,000 |
Udhibiti
ubora |
30,000 |
35,000 |
|
Uendeshaji
|
25,000 |
25,000 |
|
Ada
kwa kozi |
60,000 |
75,000 |
|
|
|
|
|
Stashahada
za kawaida (Ordinary Diploma) |
Usajili
|
15,000 |
35,000 |
Udhibiti
ubora |
25,000 |
35,000 |
|
Uendeshaji |
15,000 |
25,000 |
|
Ada
kwa kozi |
55,000 |
55,000 |
|
|
|
|
|
Astashahada
(Certificate programs) |
Usajili
|
15,000 |
35,000 |
Udhibiti
ubora |
15,000 |
25,000 |
|
Uendeshaji |
15,000 |
25,000 |
|
Ada
kwa kozi |
45,000 |
45,000 |
|
|
|
|
|
Astashahada
ya Msingi (Basic Certificate) |
Usajili |
10,000 |
35,000 |
Udhibiti
ubora |
25,000 |
20,000 |
|
Uendeshaji
|
15,000 |
25,000 |
|
Ada
kwa kozi |
35,000 |
45,000 |
|
|
|
|
|
Ili
uweze kufanya usajili katika kozi fulani lazima uwe umelipa gharama za usajili,
Udhibiti ubora na gharama za Uendeshaji.
OFA
hii itaanza kutumika kuanzia tarehe 25 Novemba 2021 na kuisha tarehe 31
Disemba 2021.
Tunawatakia
kila la kheri
Wenu
katika Elimu ya Kikristo
REV. PENDO S.
BELUZO
NAIBU MAKAMU
MKUU WA CHUO TAALUMA
ELAM CHRISTIAN
UNIVERISTY
Add New Comment